Kwani wanaume hamuez kusema 'hapana'

lila eti naskiaga ikisimama lazima ipandwe sijui ni kweli?

:biggrin1: sio lazima inategemea zinaweza simama na ukasema no vile vile kuna wanawake wengine ukiwaangalia tu unasikia kichefuchefu sa hapo kwann usiseme hapana
 
Last edited by a moderator:
Inategemea nategwa na nani yawezekana anae nitega na mimi ndo nilikua nampigia hesabu, sasa fikiria out put yake itakuwaje hapo,yeye anajifanya anatega mimi nakuja mzimamzima.

"sio kila mlusha ndoana kwenye mto ataibuka na samaki"
 
hatuwezi asilani, na anayeweza ni 'poyoyo'

nafikiria wanaume mmejjengea mtazamo fulani kwmba ukifanya hv basi we ndo kidume ee,ila sizan,can't u be proud ukiyashnda majarib?rather than putting ur thngs kila mahali,,,hamuoni kinyaa guys jmn
 
mleta mada labda una bahati ya kukutana na madume ya mbegu. Hayo kazi yao moja tu. Lakini wanaume wapo tu. Fanya homework yako vizuri utawaona.
 
mleta mada labda una bahati ya kukutana na madume ya mbegu (beasts). Hayo kazi yao moja tu. Lakini wanaume wapo tu. Fanya homework yako vizuri utawaona.
 
Mi hata kama nimeoa, nkiingia chumbani kwangu nkamkuta mwanamke yuko uC*i, yaani hata kama ni dada wa mke wangu na wako tumbo moja mi nakula mzigo tuuu.
 
Una uhakika unacho kinena?

Hivi unamaanisha pale ambapo panaota mavuzi? Kama ni hapo, qeli kuna BinAdamu ambaye hana kinena? Sasa utupu wake wa mbele (dhakari na kipochi manyoya) unakaa wapi. Mbona hili swali kwa Bazazi ni kituko?

Bazazi!
 
Ivi wanaume n lzm mkitegwa mvue ch...*?Can't u Guys say No'??

Natumia akili kubwa kumtongoza demu ili nipate pussy yake, halafu bila gharama inajileta niiachie, that will never ever happen to me under dis sun. Huwa nafidia wale videnishi walionitosa na hivyo kusawazisha mizania baina ya kupata na kukosa.

Ndimi Bazazi!
 
Kwenye kamusi yao hamna neno "hapana".
Purple haipo kwa sababu tunatongozwa kwa nadra sana. hebu jaribuni kuwa mnatutongoza mara kwa mara muone misimamo yetu. Nafidia walionitosa
 
Last edited by a moderator:
NOOOOOOOOOOOO

baadhi ya wadada ukikataa wanatuzushia habari mbofu mbofu solazima tuwat@#$% as a precaution.
 
Hivi unamaanisha pale ambapo panaota mavuzi? Kama ni hapo, qeli kuna BinAdamu ambaye hana kinena? Sasa utupu wake wa mbele (dhakari na kipochi manyoya) unakaa wapi. Mbona hili swali kwa Bazazi ni kituko?

Bazazi!

Huyu mtu anadai eti anaogopa ban!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom