Recent content by Bichwa ndani ya dryer

  1. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka kutoka singida(manyoni) to kigoma (kasulu) kwa kweli fursa nimeziona, nimejiona mjinga.

    Tatizo Kwa wasomi calculation ni nyingi sana mtu anataka afanye kitu chenye uhakika asilimia 100 ,ambapo kiuhalisia hamna kitu kama hicho
  2. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Nadhani kumkubali kumkataa mtu ni mfumo wa kibayolojia wa ulinzi na usalama Tunavoishi ubongo unatabia ya kurekodi matukio yote tunayopitia sura za watu,mienendo,masimulizi kutoka Kwa watu ,tabia na ubongo hutenganisha hayo yote kutokana na Imani binafsi ya mhusika kama salama na hatari . Hivyo...
  3. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Ayatollah ,saiv nipo mbion kutafuta mke.

    Hongera kwa kutosikiliza miluzi ya kataa ndoa
  4. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Mkuu hoja yako ya kwanza Ina nguvu ila ni general mno hujazingatia athari ya vita vya wenyewe Kwa wenyewe na uingilwaji kijeshi na NATO. Kwahyo tatizo la Gadafi kutokuwa na taasisi halina mashiko Bali hakukuwa na mtu aliendaliwa kuendleza kma ilivyo kwa nchi za falme za ghuba ambao...
  5. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Walichomeshwa na hila za wamagharibi kwani alishaleta tishio kuunganisha Africa kuwa na sarafu yake ambapo ingewezekana ingekuwa pigo Kwa mabeberu , ndio mana mpka Leo majuto na hatia hiyo inawala na wanakiri hilo Wote Wanaoleta tafiti zao wanazifanyia ndani ya jukwaa la JF? Au ugeni wangu...
  6. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Walichomeshwa na hila za wamagharibi kwani alishaleta tishio kuunganisha Africa kuwa na sarafu yake ambapo ingewezekana ingekuwa pigo Kwa mabeberu , ndio mana mpka Leo majuto na hatia hiyo inawala na wanakiri Hilo
  7. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Nakupa mfano Muamar Gadafi alipokuwa Libya inchi ilikuwa kiuchumi sana fuatilia sarafu ya Libya kipindi hicho na sasa utaona . Unaleta haki au sio Kwa idi kutaka Kagera kwani Trump anavoyataka mafuta ya Iran je kwa marekani sio faida? As long as inchi ikiiba inaleta ndani kuna ubaya gani na je...
  8. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Sawa kwenye msafara wa kenge mamba Nao wamo ni sawa Kuna nchi mfano Bolivia ulioitaja ambyo walioingia kidikteta walikuwa na motive ya kuuza madawa ya kulevya ila kwa Uganda nduli Amin alikuwa anarekebesha na kujenga nchi Kwa kutumia wa asia waliokuwa wanamiliki ardhi ya waganda akaonekana...
  9. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi...
  10. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Ndo malipo ya kuwa mwanaume bwege
  11. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    1 Kings 1:3-4 [3]So they sought for a fair damsel throughout all the coasts of Israel, and found Abishag a Shunammite, and brought her to the king. Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme. [4]And the damsel was very fair, and...
  12. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Nikiangalia chatting zenu utoto bado mwingi sana , amefanya Nini mpka umuite mke wako ? Yani mpka hapo ushampoteza
  13. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Inategemeana halafu saivi wanaume ni wachache wengi ni wavulana unataka mwanamke awekeze kwenye hamna kama tu we mwenyew utakuta unaabudia sana nyau na unaogopa kumpoteza ,huna maamuzi kma mwanaume,hujipendi,hujiheshimu wew na muda wako ,hujitangulizi ,huna mipango kwenye mahusiano huna mipaka...
  14. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

    Niliskiaga ukiweka ugoro katikati ya vidole vya miguuni na ukavaa soksi ukatulia ,gari ikija kuwaka imewaka sasijui kama ni kweli
  15. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

    Huyo babu angekuwa amejiwekea akiba na kujijenga usingeleta huu Uzi jambo la muhimu ni kujiwekeza ili uzeeni usipate tabu maana angekuwa anavitega uchumi maisha yanamwendea hata hao ndugu ambao saivi wamemtenga wangejazana sana tu kwake
Back
Top Bottom