Ayatollah the Bird
Senior Member
- Jul 30, 2026
- 182
- 412
Saiv nna miaka 26 bado kijana ila sitaki nipite 28 ama nikianda sana 30. natamani nioe mapema kabla mda hujanipa.nipo mwanza saiv nacheki mazingira kama nitafanikiwa.