Recent content by Bibi Tale

  1. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Nimejaribu najiona mwenyewe tuu, au ndo ntajioa mwenyewe 🤣
  2. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ed Sheeran tujumuike hapa

    Hapana, sio shoga. Amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi mwaka jana.
  3. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ed Sheeran tujumuike hapa

    Tafuta 'Afire Love' wa huyu jamaa usikilize, ni mzuri saaana!
  4. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

    Kwahiyo mtoa mada ukaamua kujipa na ka airtime kidogo hapo mwisho.. 🤣
  5. Bibi Tale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Failed state"; Waziri ateua "MAITI"kuongoza "Board" ya Filamu.

    Mmmh! kuna namna hapa.
  6. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Yaani computer ziibwe halafu zipelekwe ofisin kwa mtu, no way. Waliozichukua hawana shida na computer bali kilichomo ndani ya computer.
  7. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Shida sio kuvuja kwa Video za utupu wala shida sio kupost picha chafu mtandaoni,shida ni Hizi Smartphone

    Simu ninunue mimi, matumizi unipangie wewe #WTF
  8. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

    Umenena vyema mkuu, tupunguze roho za 'kichawi' na tuache kuombeana mabaya.
  9. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Kuna kitu cha kujifunza hapa.
  10. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Mkuu, mie nakushauri ukasikilize wimbo wa Mwasiti ft Chid Benz - Hao
  11. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Rest in paradise mkuu. We gonna miss you 😭
  12. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo

    Hee! makubwa haya..
  13. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

    Kuna kitu ulikuwa wakitafuta mkuu.
  14. Bibi Tale

    JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Chalamila kuwacharaza bakora wale wasiooa na kuolewa

    Kupata vichekesho vingine kama hiki bonyeza *148*69#
Back
Top Bottom