Sitasahau huyo jamaa alivyokataa kupiga picha na mke wanguSema huyu jamaa anajua sana lakini ana muonekano wa kuimba rock au country[emoji23][emoji23]
Antisocial hiyo ngoma inaitwa ni nomaaa Travis pia ni hatareee huyo muhuniipo ngoma flani yuko na travis scotti. ni balaa dude hilo
Endelea kupata tetesiMimi nilifuta nyimbo zake zote baada ya kupata tetesi ni jamii ya kina elton john
Hapana, sio shoga. Amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi mwaka jana.Mimi nilifuta nyimbo zake zote baada ya kupata tetesi ni jamii ya kina elton john
Hapana, sio shoga. Amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi mwaka jana.
Eti Eeeh..Tafuta 'Afire Love' wa huyu jamaa usikilize, ni mzuri saaana!
Umetisha sana album ya Divide imeshiba sana na ile X hatari Ed Sheeran.Nilizonazo mimi ni 👇👇👇👇
Beautiful people
South of the border
Take me back to london
Best part of me
Nothing on you
Feels
Blow
I don't care
1000 nights
I don't your money
Put on me
Ant social
Remember the name
Cross me
The way to break my heart
Afire love
All the stars
Bibia bi ye ye
Castle on the hill
How would you feel
Save myself
Dive
Hearts don't break around here
Kiss me
Give me love
Shape of you
Don't
Drunk
Eraser
Small bump
Wayfaring stranger
Wish you were here
A team
Bloodstream
One
Tenerife sea
The man
Thinking out loud
Perfect
Photograph
Supermarket flower
Even my dad does sometimes
I see fire
I'm mess
Galway girl
Lego house
I don't need you
Happier
Nina
Run away
Shape of you
Shirtsleeves
Everthing has change
Hearts on fire
What do i know
Na zinginezo
huyu jamaa sidhan kama ana dude linalokere ingawa collaboration no 5 project sijaisikia badoUmetisha sana album ya Divide imeshiba sana na ile X hatari Ed Sheeran.
Jamaa noma kama hiyo Ft Khalid Beutiful People sikiliza kwenye mziki mkubwa ni noma..huyu jamaa sidhan kama ana dude linalokere ingawa collaboration no 5 project sijaisikia bado
Na hii Every thing has changed amepiga na Taylor Swift ni balaa si unajua tena yule mdada ni noma..Umetisha sana album ya Divide imeshiba sana na ile X hatari Ed Sheeran.
yeah, na ed sheeran anamshukuru sana huyu bidada maana alimsaidia sana kupitia RED tourNa hii Every thing has changed amepiga na Taylor Swift ni balaa si unajua tena yule mdada ni noma..
Nilizonazo mimi ni [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Beautiful people
South of the border
Take me back to london
Best part of me
Nothing on you
Feels
Blow
I don't care
1000 nights
I don't your money
Put on me
Ant social
Remember the name
Cross me
The way to break my heart
Afire love
All the stars
Bibia bi ye ye
Castle on the hill
How would you feel
Save myself
Dive
Hearts don't break around here
Kiss me
Give me love
Shape of you
Don't
Drunk
Eraser
Small bump
Wayfaring stranger
Wish you were here
A team
Bloodstream
One
Tenerife sea
The man
Thinking out loud
Perfect
Photograph
Supermarket flower
Even my dad does sometimes
I see fire
I'm mess
Galway girl
Lego house
I don't need you
Happier
Nina
Run away
Shape of you
Shirtsleeves
Everthing has change
Hearts on fire
What do i know
Na zinginezo