Karibu tule kichwa inaonekana hujui unachozungumza UDOM unadhani ni mteremko uliza uambiwe usipime kina cha Maji kwa mguu! Dharau za namna Hii SI nzuri, zungumza ukiwa na ushahidi wa hayo, mchujo UDOM kama kawaida , utafaulu kwa juhudi zako, Haya ndio yanayofanya vijana wanakuja UDOM na NO...