Recent content by biba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkalisha mwenzi wako mwanaume nyumbani (weekend)

    jaman naomba kuwarudsha nyuma maana apa kila neno ni kuusu kumsujudia mwanaume.yaaan ata Mungu tungemubud ivo waaalah wote tungeenda mbingun. kingine inamaana uyu mtu anaitwa mwanamke ni wa dizain gan au ana ka mixer na umalaika maaana hapa cdion kwa yote anayofanya yy anapokea nn zaid ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tabia 6 za matajiri duniani, ukizifuata utakuwa tajiri 100%

    iyo no.tano hapana no
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkalisha mwenzi wako mwanaume nyumbani (weekend)

    kwa maelexo hayo hyo nyumba haina kax ingine ni kumuandalia baby tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanapaswa kuchukua muda gani hadi kufikia ndoa?

    jaman swala la ndoa ajuaje ni Mungu tuu.ushasema mda wa kuchunguzana iv nan atajiweka waz akat unajua unachunguzwa?? mi nna ushahid wa familia yetu,ndugu wa ukoo alikua akiishi nyumban kwetu,uyu dada aliolewa bila kupima kipind cha urafiki wala uchumba.can u imagin,alikutana na mtu within a...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchafu mweupe wakati wa kujamiana

    peace of mind.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uchafu mweupe wakati wa kujamiana

    sio kila kitu mnakimbilia hosp.jamanii ndo akina nyie mtoto akipiga chafya tu mko kwa doctor.hiyokitu ka ma haina harufuna hawashwi bas ni hali ya kawaida ya mabadiliko ya kike k.. inapojisafisha.sometym inakua na uxitoflan iv kama gundi gundi na hapo mpin ukiingia waaalahi kwa gundi hyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nachelewa kufika kileleni

    tumia mda mwingi kujiandaa instead of kukurupuka
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    hahahaaaa umenifurahisha kwel kwel. ila mpaka mimba ikatolewe ushaonekana ni makala kala
  9. B

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Mimi nahisi niko tofaut na nyie woote,mana kwanza cchagui, cbagui nawashangaa wote uyo kaka na uyo mdada wanaoshiriki ngono ktk hali hiyo.naomba kujua ni ukame,uhaba,ukiwa,au kiu au kakoka magereza!!na ww dada kwa kumpa uko inaonyesha uyo man he cant wait sio. Vp ikitokea kwa mfano umesafir,au...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Jaman ndo kwanza nimejiunga jf.uzi nimeupenda kisawa sawa ila sasa nikitoka online nawezaje kuupata kiurahs niendelee kujifunza??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Arusha imekuwa kero

    haaaa jaman samsun. we ndo ulienda kukaa na watu wa dizain hyo.na haimaanish arusha yote ndo tunamaisha hayo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    eeeh jaman,inamaana hamna wa tz uko!
Back
Top Bottom