puppa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 379
- 176
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya kufanya mapenzi, lakini hii hali haikuwahi kunitokea hapo mwanzo inafikia hatua naona karaha, msaada tafadhali.
MziziMkavu msaada
MziziMkavu msaada
Last edited by a moderator: