Recent content by Bhudagala

  1. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Hapa Katoro mnaleta?
  2. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

    Kwa sasa tuna idadi ipi kiongozi. Watu walikatisha tamaa balaa kwelikweli
  3. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

    Watoto wa 2000s mna fujo sana. Naamini miaka 10 ijayo utakuwa na akili.
  4. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Channels za BeIn Sports ziko decoda gani?

    Habari wadau! Naomba kufahamu hizi channels za BeinSports nazipata kwenye decoda gani? Nimekuwa nikicheki online tu, ila napenda sana.
  5. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa soka tu, pitia hapa (inaweza ikakusaidia)

    Mkuu hizi burudani bado zipo?
  6. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    Bado upo? Uko wapi? Nicheki kwa 0688593232
  7. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Hizi boarding schools zenyewe Vipi, wao wanarudi kwa muhula
  8. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania 2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

    Na haiwezekani
  9. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Vipi kwa tunaopanda Saratoga, naona kama ushauri unatubagua
  10. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Namna gani ya ku-edit scanned documents?

    Hujui ulichokiongea mkuu.
  11. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    1. Kumtafuta fundi ambaye ni ndugu yangu kwa lengo la kuokoa gharama. Aliharibu Foundation ya nyumba, alimanusura nibomoe jengo lote. Niliokoa baada ya kutafuta fundi mwingine. 2. Kujenga nyumba kubwa kinyume na uwezo.
  12. Bhudagala

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuifahamu miili na lishe haihitaji BIOLOGY ya Sekondari.
Back
Top Bottom