Recent content by bhori

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    kwaiyo sisi watanzania ndio tunapiga kula au wamalekani wenyewe maamuz yao hayatuhusu kaa kimya unyolewe
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, shirikisha wabunge wa upinzani ndio vita hii utashinda

    huo ndio mwisho wko wa kufikili swala la wizi alinachama yoyote yule anaweza akawa fisadi bila kuangalia anatoka chama gani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza ahamia CCM

    kuhama chama kwenda chama kingine kitu cha kawaida nini cha ajabu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

    Tanzania ni tajiri ila wachache ndio wanaofaidika sisi wananchi wa kawaida atuoni umuhimu wa izo pesa ila kwa wapiga dili ni pigo kubwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Nzowa na Kova kugombea nyumba yaanza leo

    mda wakiofanya kazi wameshinda kujenga nyumba zao mpaka wagombanie nyumba ya selikali?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

    iyo ni tamaa ya ela kilichobak utamuuza na zidane tumia akili
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Mchawi

    iyo ndio umeona kazi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Majipu yanayotumbuliwa na Magufuli...

    Bila shaka ni uongozi mbaya wa chama tawala kila baada ya miaka10 kauli mbiu hubadilika lakini utendaji Kazi hubaki palepale ni mwendendelezo tu was uozo uliotunukiwa na matokeo ya kubweteka
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

    Nampa pole
Back
Top Bottom