Toa alfu tafuta boya kwenye chocho chomoa figo then unarudishia figo lakoHabarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?
Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Nusu ubongo teh teh teh lete ushuhuda...
hapa anayeuza ni wewe au yeye?Sawa mkuu.
mkuu kwa hiyo una wanunuzi wa kutosha na mimi nikuunganishie na jamaa?Naye anataka kuuza ya kwake hivyo anataka nimuunganishe
ha hahahahahahaKatoe tu fresh uchukue hyo 250 alaf unatenga 50 unatafta la mtu lililochoka choka unanunua yanapatikana tu mkuu
muambie aendelee kutafuta na wateja wengine, huku Africa watu kibao wapo willing kuuzaHapana mkuu mimi nimeshawishiwa tu na rafiki yangu ambaye yuko Canada
ndio maana nikj kuuliz madhara huku kbla sijafanya maamuzi
Nani umuuzie figo kwa bei kubwa hiyo, wakati kuna watu wanatekwa na kuchomolewa figo na baadaye kuuzwa?Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?
Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.