Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza ahamia CCM

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mwanza, Bw.Adrian Tizeba ahamia CCM na kupokelewa tawi la Lugata, Sengerema, ikiwa ni wiki moja tu tokea avue sare za migambo.

Chanzo: Mwananchi.
 
Mliitaka wenyewe
sasa mnaisoma namba.
1460717791104.jpg
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mwanza, Bw.Adrian Tizeba ahamia CCM na kupokelewa tawi la Lugata, Sengerema, ikiwa ni wiki moja tu tokea avue sare za migambo.

Chanzo: Mwananchi.
Mbona huyo unayemwita m/kitI wa CHADEMA Mwanza sawa na heading yako alifukuzwa kwenye uongozi karibu mwaka mzima uliopita!!
 
Sisi wenye chama chetu tunachekelea tu. walete walete. Tunaanza kukusanya mtaji wa 2020
 
Huyu Lugumi ameacha file lake la mkataba kwa Said MtuMwema,ambapo MtuMwema atamkabithi kachero Vale Mlioliwa Kuchunguza.
Hapo ni kizungu zungu tupu,tutasikia hilo faili limeshaliwa na mchwa
 
Ushaambiwa "ALIYEKUWA"...

Huyu alisimamishwa zamani sana na Slaa...

Hakuwa na kazi ya kufanya ni vizuri kama CCM wamempa mchongo!
 
Back
Top Bottom