Usichanganye mapenzi na kazi na acha roho mbaya sheria ya ajira inaruhusu mtu kuongezewa muda wa probation mpaka mwaka mzima usimwalibie maisha mwenzio after all majungu kazini ni kawaida pia si lazima atembee na wewe
probation period ni kipindo cha matazamio ambacho mwajiri humtazama mwajiliwa kama anafaa katika kazi. Kipindi hichi chaweza kuwa mwaka au miezi sita na baada ya hapo ndipo mwajiliwa atapata ajira rasmi kama ataonekana anafaa katika hiyo kazi. Sheria inamwamuru mwajiri kuongeza muda wa probation...
pole ila unapofanya maamuzi ya ndoa sio mchezo ndoa ni mara moja.c mara mbili kumbuka c kila unachokipenda utakipata thats y hukumpata toka mwanzo heshimu ndoa yako ifanye kitu kitakatifu achana na huyo wazamani.
Anzeni maaandamano ndani kwenu kwa kushindwa kutoa elimu bora. Milo mitatu bora, maradhi bora, na mapenzi bora kwa kutokuendekeza michepuko mwende kila jimbo lenye mbunge wa chadema kuonesha maendeleo mliofanya. Afu mtatushawishi kwani mabadiliko huanza na wewe...
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae...
Kubadili mtazamo wa wanaotafuta ajira. Tuwaandae watoto kupata maarifa na si kuwapeleka shule ili wapate ajira.kutoa elimu ya ujasilia mali. Kutoa mikopo kwa wenye uwezo wa kujiajiri, kuendelea kuboresha miundo mbinu kama anavyofanya muheshmiwa kikwete, kupigia kura CCM 2015 iliikamilishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.