Jaman nahitaji ushauri kwa hili

Jaman nahitaji ushauri kwa hili

X-Pel, kama unayosema ni kweli na sina sababu ya kutokukuamini basi nadhani wewe ni mtu makini na unajielewa. Huyo Bwana alikuwa na wivu usio na msingi ambao katika hali ya kawaida hauvumiliki.

Sasa sikia, unajua kwa nini watu waovu hufanikiwa kutuaffect:
They force us to play their damn game, in their damn stadium, under their damn rules, controlled by their damn referees...sasa wewe wakatae..usiwafanyie uovu..utakuwa kama wao..."Vengeance is mine, Sayeth the Lord"
 
Asanten sana ...capt meno,bhole mwita maganya,apology lady,badil tabia,wat8,maledhi,cystal field theory,mtama ushi na wotee mlonishauri ...nashukuru sana sasa nafanya yale mambo ya msingi tu!ukimya ni dawa nimeamin..Thanx wana Jf
 
R&b = RB

pole sana ndugu emu wapotezee hao watu uone maisha yako yanavyoenda fresh though inauma
 
Back
Top Bottom