CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
dah!Hv kuna sehemu ya ku like humu JF?
Mabwaku!!!!!!!!!!!! :A S-confused1: :A S-confused1::A S-confused1: :A S-confused1:
dah!Hv kuna sehemu ya ku like humu JF?
Mabwaku!!!!!!!!!!!! :A S-confused1: :A S-confused1::A S-confused1: :A S-confused1:
Ndio lakini siunajua kuuliza mara nyengine ni vizuri ili ukiona kwako mambo sio mambo dawa uduma ya kwanza unatoa mwenye.......lolWewe si ni -KE? mbona kunchokonoa mume wa mwenzio!!!
Ndio lakini siunajua kuuliza mara nyengine ni vizuri ili ukiona kwako mambo sio mambo dawa uduma ya kwanza unatoa mwenye.......lol
Mpenzi wangu njoo usome hapa.
Nina aleji na hiyo kitu!
nshakuja mpenziMpenzi wangu njoo usome hapa.
nshakuja mpenziMpenzi wangu njoo usome hapa.
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho gan kwa afya ya binadamu?Naomba mnijuze maajabu ya supu ya Pweza kwa aliyetumia ili nami niifurahie...
Nawasilixha.
Ni kweli hujui faida ya supu ya pweza seriously????
Mkuu, umenichanganya kabisa, inauzwa kwenye CHUPA?yani nimekuwa mlevi wa supu ya pweza, hawa wakina AMMY ni nouma. ila hiyo kitu ni nzuri kiafya inasaidia joto kupanda hasa la kichwa cha mtoto mwenye jicho moja. nimemuambukiza hata bosi wangu kuna siku tulinunua chupa nzima.
Ndo maana wana-saikolojia wala hatupati taabu katika kufanya analysis. Manake tukishakutana na majina mazito mazito kama haya tu, tunajua hapa kuna jambo!!Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho gan kwa afya ya binadamu?Naomba mnijuze maajabu ya supu ya Pweza kwa aliyetumia ili nami niifurahie...
Nawasilixha.