Recent content by Bhihalo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali: Uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya, ulizingatia sheria, kanuni na taratibu

    Godwin Gondwe alikosa umbunge Ilemela kupitia kalekale kachama ketu. Ko amekumbukwa na kachama ketu.!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Dar es Salaam kwenda Kasulu-Kigoma

    Adventure hawana shida sana. Nauli ni 70,000/= kwa mabasi la anasa(luxury) na 60,000/= kwa basi la lawaida. Tatizo la Saratoga ukifika uvinza unafaulishwa(unachomekwa kwenye vihaice). Nauli pia ukiwapiga sound inawezashuka.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kumbuka vitu vitatu katika maisha

    Ujumbe mzuri. Barikiwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huku kuisoma namba hakumchagui mtu

  5. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    "Uamusho ni taasisi ya kidini". "Cuf wanataka kuiongoza zanzibar kwa kushirikiana na uamusho". Ni maneno yaliyosema na mgonjwa jamani. Sijui Mungu atatukwamuua vipi/lini na hawa wagonjwa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya wajinga:Walimu kuripoti vituoni.

    Labda serikali inaadhimisha siku yao..!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    . Ok nashukuru ila nina kichwa cha binadam si cha panzi kama ulivyodai. Kama umenielewa ni kwamba kuvuliwa madaraka kwa Zitto is only kuutaka Urais kupitia CDM na si kingine. Na haya maamuzi ya kukurupuka believe or not yatakigharim chama. Utayakumbuka haya maneno. Maana Kigoma ndo washajifuta...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Tatizo Zitto alionesha nia mapema ya kuwa Rais kupitia Chadema wakati CDM inamtaka mtu wa kaskazini. Sikuwa naamini kuwa CDM ni wabaguzi now nimeamini. CDM kumbe sawa na Ma ccm tu.! Inaniuma kama mtu wa Kigoma mbona juzi Lema umelopoka kuhusu Zitto hawajongea chcochote. "ukiona mtu anaeneza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: CHADEMA kinaweza kuwa chama cha msimu

    Juzi zuzi nilikuwa Kasulu,miongoni mwa watu ambao hawatakiwi Kasulu ni pamoja na Machali,ofisi yake lilibaki jengo tu kwa kuwa ni nyumba ya mtu unless lingechomwa na sina uhakika sana kama anaweza simama mbele ya wananchi wake kimkutano. Briefly hawamtaki kabisaaaaa.! Ko huyu bwana anatapatapa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: CHADEMA kinaweza kuwa chama cha msimu

    Juzi zuzi nilikuwa Kasulu,miongoni mwa watu ambao hawatakiwi Kasulu ni pamoja na Machali,ofisi yake lilibaki jengo tu kwa kuwa ni nyumba ya mtu unless lingechomwa na sins uhakika sana kama anaweza simama mbele ya wananchi wake kimkutano. Briefly hawamtaki kabisaaaaa.! Ko huyu bwana anatapatapa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ana ubinadam

    Kwa uelewa wangu CCM ni watu tena huyuhuyu Kikwete ndo mwenyekiti wao,kwa kuwa CCM ni watu kumbe hawa watu tena zaidi mwenyekiti wao ndo TATIZO na sio hizi herufi tatu yaani CCM.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ana ubinadam

    . Ndugu acha kuwadanganya watanzania. Mf Kigoma na Tabora hakuna barabara ya lami inayotoka nje ya mkoa na kwa Kigoma hakuna hata tawi la St Augustin achana na chuo kikuu cha serikali. Nitendelea kuyakumbuka maneno ya Mnyika bungeni kuwa "tumefika hapa kwa.............!"
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nisadie tofauti ya vitu hivi..!

    Kuana tofauti gani kati ya Chuo na Shule..?
  14. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Kondoa-Dodoma idara sekondari,natafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi toka wilaya yoyote ya Tabora..! Kwa aliye tayari tuwasiliane(tupia namba yako)..!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Christian ministry registration

    Una huduma...?
Back
Top Bottom