Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hivi yule mmama aliyepelekea hadi mwenyekiti akafungilia mbali familia nzima bado "nkulu" anaendelea nae!??
Vipi kuhusu Tido Mhando?
Hivi yule mmama aliyepelekea hadi mwenyekiti akafungilia mbali familia nzima bado "nkulu" anaendelea nae!??
baba v,
huu uongo umeanza lini mbona huko nyuma hukuwa hivi siku hizi umekuwaje unakuwa muongo zaidi hata ya lisu unakwenda kupotea kabisa.
Kwa uelewa wangu CCM ni watu tena huyuhuyu Kikwete ndo mwenyekiti wao,kwa kuwa CCM ni watu kumbe hawa watu tena zaidi mwenyekiti wao ndo TATIZO na sio hizi herufi tatu yaani CCM.Kikwete ni mtu muungwana sana siku hizi, TATIZO NI CCM
nilidhani unafahamu kila kitu kuhusu baba mwenyekiti kumbe mengine huyajui.. Ooh tate nane..
Lord have mercy.............
sijui nisemeje manake naogopa ila ana ubinadamu wa inkind with inverted comma
Nani alisema.simiyu tujibu basi chuo kikuu cha ruvuma alichojenga jk kipo wap?
Mkuu unakubaliana na ukweli au unapingana na ukweli?Kwa uelewa wangu CCM ni watu tena huyuhuyu Kikwete ndo mwenyekiti wao,kwa kuwa CCM ni watu kumbe hawa watu tena zaidi mwenyekiti wao ndo TATIZO na sio hizi herufi tatu yaani CCM.
Vipi kuhusu Tido Mhando?
there you're... Ni kama lilivyo tabasamu lake... Never be taken with it..
Mkuu kwa mengine yote inaweza kuwa sawa!
Ila kwa hii ya Profesa Rwekaza Mkandara bado sijakuelewa. Inamaana Mkandara kupewa U-Vice Councellor ni unyama?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mtu mbaya hujulikana kwa matendo yake kadhalika mwema nae matendo yake humuuza........
Haina haja ya kuweka uzi eti rais ana ubinadam ilihali watu wakifungua library zao wanakuja na data zisizokuwa na hesabu juu ya uovu wa mtu huyo.
Hebu mfikiria tido mhando bado tuu utasema ni mwema??
Angekuwa na ubinadamu asingekuwa reactive. Kwa nini asubiri malalamiko ndio ajitetee? Wala usiwalaumu hao wabunge. Mlaumu jk kwa kuwaendekeza mawaziri na watendaji wake. Nyerer anasema mtu ambaye anaona haya kuitetea katiba hatufai. Aende akaendeshe shamba lake huko...Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
Kikwete tangu achukue uongozi wa taifa hili tumeshuhudia mengi mazuri ambayo hayakuwahi kuwepo kwenye taifa hili.
Laana ikurudie ww kwackuwalaani wabunge wa chama tawala ambao wako pale kukutetea ww mtanzania maskini.
Mkuu kama viongozi wa kisiasa wote wangekuwa kama jk taifa hili lingepiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo,
Jk amekuwa kimbilio la kila mtu na kila kundi kwa kweli mfanowe hakuna,
Laana ikurudie ww kwackuwalaani wabunge wa chama tawala ambao wako pale kukutetea ww mtanzania maskini.