Huku kuisoma namba hakumchagui mtu

Huku kuisoma namba hakumchagui mtu

Wekeni basi hile tune hapa tunganishe na lile shahiri naona mambo yatanoga sana.Shahiri tamu lafaa liambatane na wimbo
 
Hule wimbo walijitabiria wenyewe 100%.Tuliozoea kupambana atuoni tofauti ya Jana na Leo tunabadilika kuendana na mazingira.
 
ccm ndio waliomuweka magufuli.. na wamemuweka magufuli makusudi ili wawakomoe watanzania wavivu na wazembe..

jk alisema magufuli akishinda atalala usingizi..

nape alisema magufuli anashinda hata kwa bao la mkono... na sasa waziri..

kuonesha ubabe kazuia bunge live tbc kibabe na hakuna wa kumfanya kitu..

magufuli ni ccm na anafata ilani ya ccm..

ccm ilipanga kufanya mabadiliko makubwa... kuhakikisha kosa walilolifanya kumuacha lowassa awe na jina kubwa sana kwenye chama hawataki lijuridie... wanataka mwenyekiti / rais ndio awe kila kitu ccm..

na.magufuli amepewa nchi makusudi kuwakomoa watanzania wote.. wezi wa halmashauri, bandarini na kila.sehem..

jitu linatajirika kwa kuibia nchi na bado linasema serikali haijafanya kitu miaka 50... na nyumbu wanashangilia...

sasa kuanzia nyumbu.. watumishi wa serikali wezi na wavivu, matajiri wezi wezi.. wakwepa kodi na vijana wanaoshinda vijiweni hakuna ambaye hataisoma hii namba ya ccm

na miaka 10 ya magu ikiisha anawekwa mwigulu au jembe lingine lolote... ubabe unaendelea tu hadi mwisho wa dunia

Hey, ...huyo aliyeiba miaka mingi si achukuliwe hatua? Anyway, nilitaka tu nikukumbushe kuwa Magufuli atakuwapo ikulu kwa miaka mi5 sio kumi
 
Endelea kujidanganya CCM ni ile ile....na mabadiliko ya kweli yanaletwa na CCM..na soon anakabidhiwa uenyekiti wa mojawapo wa chama kikubwa Africa... CCM hapo ndipo mtajua mbivu na mbichi...

CCM ni wababe...

Zanzibar fyoko fyoko watu wamempitisha shein na hakuna anaefanya kitu....
UKAWA endeleen kuzungusha mikono na kingunge eti, na sumaye... ha ha ha
Mbowe mwenyekiti wa milele wa chama.....
chama kinaazima mgombea CCM halafu mnataka mabadiliko. Na CCM ndio inakomoa sasa.. bungeni hamfurukuti mwanamke tu tulia anawachachafya..
Na hapo bado. CCM lazima isomeshe watu namba hadi muelewe.
uzembe uliofanyika hadi lowassa akawa mkubwa kuliko chama hautajirudia tena... sasa hivi ni ubabe tu

Mpaka sasa hivi siamini kama Magufuli atapewa uenyekiti wa chama,...sio kiongozi mzuri wa kisiasa
 
na ccm wanampa makusudi... ili ubabe uongezeke..

haiwezekani watu waibie nchi na kutajirika halafu wanasema ccm haijafanya kitu miaka 50..

ili jambo litawakomoa watu wengi sana... maana ccm imegundua bila ubabe watanzania ni wanafiki.. kuanzia wana ccm wenyewe.. .. waliokuwa wanaombea ccm ife wamebaki wanalia lia tu

Mpaka sasa hivi siamini kama Magufuli atapewa uenyekiti wa chama,...sio kiongozi mzuri wa kisiasa
 
  • Thanks
Reactions: jmi
Mkuu ukiuimba huo wimbo kwa makada wa nyinyiem huku ukiwa na tabasamu , bc ujiandae kukwepa ngumi maana hawataki kuusikia kabsa . . kha ule wimbo huwa unakosesha raha aisee...kwa sasa c mbele kwa mbele tena bali ni kisengele nyuma ...au mgongo mgongo ...Udc nao umekuwa hausomeki...wale 43 waliobakia midomo imewapauka kinoma yani..na utahira umewatoka kabsa kabsa
Sa hv huo wimbo ndo tunajifarijia cc wazeee wa ukawa ,,,yaan mm cku nikiwa nimepigika sana huwa.nauplay tuu nasikiliza mwanzo mpka mwisho,huwa nafarijika sana kuona kuwa namba tunaisoma wote,,sasa shida ipo kwa wenzetu.wa lumumba mapovu yanawatoka sa hv,,midomo imepauka ka wamelamba majivu,macho ndo usiseme kama fundi saa kapoteza nati,,,,
 
Haaa haaa haaa
 
Npo na imagine wale wazaramo kitaan kwngu wakicheza baikoko ya ccm mbele kw mbeleee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
na ccm wanampa makusudi... ili ubabe uongezeke..

haiwezekani watu waibie nchi na kutajirika halafu wanasema ccm haijafanya kitu miaka 50..

ili jambo litawakomoa watu wengi sana... maana ccm imegundua bila ubabe watanzania ni wanafiki.. kuanzia wana ccm wenyewe.. .. waliokuwa wanaombea ccm ife wamebaki wanalia lia tu
ni kweli nchi imeibiwa sana, lakini kuiongoza haitakiwi uwe unaparamia mambo kwa hasira eti kisa nchi iliharibiwa
uongozi wa kisiasa unahitaji diplomacy, na mahesabu ya mbali pia compromise, la sivyo utapambana na wao watapambana na wewe pia mwisho wa siku mnaishia ku lose wote kutokana na kukosa compromise
 
KUISOMA NAMBA - 14/06/2016

Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
Hata wale waloimba, kuimba hawathubutu
Jukwaani walitamba, sasa waufyata fyatu
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Uwe wewe wa kijani, Au wa rangi fulani
Waisoma hadharani, wengine kwao rohoni
Namba hazionekani, Namba zingali gizani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Uwe wewe mpinzani, Au ndio mtawala
Namba hizi namba gani? Namba hazina usela
Waliimba jukwaani, Leo wanagalagala
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Sasa wote twaisoma, Na kila mtu kivyake
Wengine bado wahema , hajui hatma yake
Kusoma namba lazima, sasa hakuna makeke
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Yule ametumbuliwa, Kama jipu la kwapani
Yule hajatembelewa, atetema ofisini
Wakuu wamepagawa, kuchungu maofisni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Kuacha kazi wataka, wasije kutumbuluwa
Wamejawa Na mashaka, kichwani hawako sawa
Sasa waanza pigika, kupiga kumeng'olewa
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Wapinzani waisoma, wabinywa wao uhuru
Sasa nao wanakoma, bunge halina uhuru
Halmashauri zasoma, wamepokanywa ushuru
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Wale wa serikalini, hakuna tena mipango
Sio tena safarini, Na wala hazipo hongo
Maisha ya mtaani, hakuna tena maringo
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Mtaani Kwa heshima, pesa haionekani
Vijana wanaisoma, wako hoi vijiweni
Punde watajalalama, hatuoni ahueni
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Wabunge wanaisoma, gawiwo kutozwa kodi
Wameshaanza lalama, "Hii sasa imezidi "
Wapo tayari kugoma, kodi sio Yao jadi
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Na wafanyabiashara, zingine wanazifunga
Waendesha Kwa hasara, Ni bora ya kuzifunga
Kupunguza mishahara, wengine kupigwa panga
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Wale madaispora, hawakutaki nyumbani
Washaiona ishara, sio sawa Na zamani
Waweza kupigwa ngwara, mwishowe ukajilani
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu

Mimi Mwana Kigamboni, mimi Kama mshuhuda
Sikio Na zangu mboni, 'nazitune' kawaida
Malenga tangu zamani, kunena Ni yetu ada
Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu
 
Watu wa kijani ndio wanaisoma number zaidi cose walizoea vya bwerere
 
Back
Top Bottom