Kumbuka vitu vitatu katika maisha

dplus

Senior Member
Jun 14, 2016
160
126
Kumbuka vitu vitatu humpata mtu:
1.MARADHI
2.MAWAZO
3.MSIBA

Basi fanya vitu vitatu:
1.SALA
2.SADAKA
3.TOBA

Epuka vitu vitatu:
1.MADENI
2.FITINA
3.UVIVU

_____________
Vitu vitatu havimsubiri mtu
1.UMRI
2.WAKATI
3.UMAUTI

Ogopa sana vitu vitatu
1.UONGO
2.UZINZI
3.WIZI
********
Kumbuka vitu vitatu huleta mafanikio
1.JUHUDI
2.MAARIFA
3.BIDII

Yakupasa uwe na vitu vitatu muhimu
1.HEKIMA
2.UKARIMU
3.UTII
♥♥♥♥♥♥♥♥♥

Fahamu vitu vitatu vinaweza kumpata mtu wakati wowote.
1.AJARI
2.SHIDA
3.DHIKI

Kumbuka Dunia ni Kigeugeu ,Hivyo nitoe Pongezi Kwa Wanaojituma ,Usidhani ni Akili Hapana Ni Kwa Neema Ya ‪#‎MUNGU___TU‬.
 
Mkuu kwa nini umeweka vitu vitatu vitatu tu? Juhudi na bidii ni vitu viwili tofauti?
 
Back
Top Bottom