Pole mzee baba. I can feel it. Hapo dawa namba moja ni kukusanya ushahidi wote na ukae naye kwa utulivu bila hasira na umwambue ukweli wote wa yote unayoyajua kuhusu mahusiano yao. Piga moyo konde brother, then kubaliana na maamuzi yoyote atakayochukua mkeo, iwe kuachana au yeye kukiri kosa na...
Duh! Pole sana mkuu. Hawa viumbe tunaishi nao kwa Neema tu, ila ni wabinafsi na wakatili sana. Kaka hapa wewe ndo muamuzi wa mwisho coz unajua mapito ulopitia, watu wengine watachukulia kirahisi tu.
Rudi kwanza shule ukajifunze kiswahili halafu ndo uje upost huo utumbo wako hapa. Shule yenyewe umeungaunga halafu unakimbilia kupost uozo hapa ukitegemea wenye akili timamu wasome. Miccm inataabu kweli nchi hii.
QUOTE=R.B;12599943]Chama kikuu cha upinzani chadema
baadhi ya viongozi ; aswa...
Malinyi iko wilaya ya ulanga morogoro. Unapita Ifakara na kuvuka mto kilombero then unaenda malinyi. Ni shamba jipya halijawahi kulimwa. Ila linafaa hata kwa mifugo kwani maji yapo jirani sana
Wakuu nauza shamba nzuri, liko kwenye halo ya unyevunyevu wakati wote. Ni lenye ukubwa wa hekari 20 na kila moja ni 70,000. Ni mashamba yaliyopimwa na serikali ya kijiji. Kama utahitaji basis ni PM au nitafute kwa no. 0716 888288
Mkuu tulia usihofu watakuita tu. Je ulifanya oral interview? Kama ulifanya basi watakupa kazi siku isiyo na jina. Uwe unafuatilia barua posts. Nakwambia hivyo kwa kuwa ninauhakika na uzoefu na ninachoongea.
[
Nakuombea sana Mungu akusaidie update kazi yenye kipato cha uhakika Dada Maria. Usikate tamaa endelea kumuomba Mungu kwa imani, zamu yako itafika. Nimeguswa sana na story yako.
UOTE=maria cruz;10777240]mh!jamani maisha ni balaa,kumbe kaz ni kla k2 ndg zangu hasa kwass masikin,mwenzenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.