Hahaaaa,, kweli kabisa Majungu ni mzigo wa misumali ni lazima uhangaike nao ukijitwika kichwani.
Wanapiga kelele,, bila ushahidi wa Vyeti halisi vya huyo Makonda Halisi,, Gwajima alijaribu kutuaminisha kwamba ,,ATAUFUFUA MSUKULE ,, unaoitwa Paul Makonda ili uje useme kuwa wenyewe ndiyo...