Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Yeah wapo vizuri.Nawajua vizuri sana Raf MC, Motra the Future, Pacha the great ( elishajames), sight more hahaha nawakubali sana washikaji ila saiv naona kama kila mtu kivyake. Ngoma zao karibia zote ninazo mkuu huwa nawaelewa sana hawa jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Soko la mziki linawachanganya mkuu.
Fans wa mziki wa namna hiyo siku hizi tunateseka hakuna track mpya za kusikiliza.