Recent content by Bhakusyobhile

  1. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Sky eclat bado anatamba
  2. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  3. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Padri Charles Kitima ana chuki binafsi na Rais Samia na amekosa adabu na heshima kwa Rais. Rais Alifanya vyema sana kuondoka Kanisani bila kuzungumza

    Acha kuwa mtumwa wa fikra,kwa MAANA kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo,Uko katika Giza KITIMA anajaribu kukupa mwanga ili upate kuona wewe unataka uendelee kuishi ndan ya Giza,Je ni Jambo gani la maendeleo likifanyika katika Giza laweza kuwa lenye ufanisi???na bado unaendelea...
  4. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Padri Charles Kitima ana chuki binafsi na Rais Samia na amekosa adabu na heshima kwa Rais. Rais Alifanya vyema sana kuondoka Kanisani bila kuzungumza

    Mimi binafsi napenda watu JASIRI Kama kitima,nyakati za kujipendekeza zimepitwa na wakati..hata hivyo madam Pre.. ni mtuhumiwa..asingeweza kuzungumza kitu Cha MAANA mbele watu wenye upeo mkubwa.
  5. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    😁😁
  6. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    😁😁😁😁😁
  7. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

    MKUU,unayajua sana maisha,THERAPY ya kwanza kabisa ni kukubali makosa yako kisha kuishi kulingana na hali ya kipato ulichonacho
  8. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Fabrice Ngoma apigwa 'Thank you' na Simba SC

    Kiungo wa hovyo sana huyu,kila shambulizi.la timu pinzani lilikuwa linaanzia kwake..lakini mashabiki maandazi walikuwa wanapeleka lawama kwa walinzi,,KUMBE SOURCE YA TATIZO mara nyingi ilikuwa inaanzia kwa NGOMA
  9. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    Huyo ni mvivu,kuna madogo wapo huku age 17-23 wanagonga debe33(ndoo) daily na ndoo ni tsh300,Kila siku wanaondoka na elfu 10
  10. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu chuo mwaka huu; mtaji wa Tsh. 500,000 naweza kufanya biashara gani?

    Hapa Pana Siri kubwa ila watu hawajui,ukiwa na akili kijijin unatoka kimaisha..laki5 ni pesa ndefu
  11. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

    Wewe jamaa unayajua sana maisha,,hii comment ni dawa kubwa sana ambayo watu wengi hawaijui
  12. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    Du!aisee hata kanisani kumbe wapo😳😳
  13. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    😂😂😂 Hatari!
  14. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    😃😀Mimi binafsi nimeshatulia maana hilo BUTI du,,kwa kweli nimelishindwa kwanzia rohoni Hadi machoni
  15. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiatu hiki uko wap?

    😁😁😂😂
Back
Top Bottom