grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,655
Gen z mje mjibu hili swaliMtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?
Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳
View attachment 3021017
Gen z mje mjibu hili swaliMtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?
Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳
View attachment 3021017
😂 hatari sanaKobazi limekua na kubalehe
Acha mengine yatupite tuMtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu?
Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳
View attachment 3021017
😁😁😁😁😁Umri ukiashaenda kuna mambo unaona ni ujinga.
Ila hata mm huwa nashangaa unavaaje ilo takataka
😁😁Hizi pigo za kina ba’mtu nifosie buku hapo…😁