Fabrice Ngoma apigwa 'Thank you' na Simba SC

Fabrice Ngoma apigwa 'Thank you' na Simba SC

Ngoma alishapost kuondoka Simba kuanzia 29th june

View attachment 3403236

This is not news

Nashindwa kuelewa kati yake na Simba nani kampa mwenzake thank you
Inasikitisha na viongozi wa Simba naona wanajitoa ufahamu kwa makusudi kabisa.

Huyu alishaaga muda kuwa anaondoka leo wanatoa "thank you" wakiwadanganya mapopoma yao kuwa wao ndio wamemuacha na sio mchezaji kuwaacha wao.

Inasikitisha.
 
Kiungo wa hovyo sana huyu,kila shambulizi.la timu pinzani lilikuwa linaanzia kwake..lakini mashabiki maandazi walikuwa wanapeleka lawama kwa walinzi,,KUMBE SOURCE YA TATIZO mara nyingi ilikuwa inaanzia kwa NGOMA
 
Bila kusahau lilipokwa airport.
 
Back
Top Bottom