Hakuna alie wahi kuwajua hawa viumbe hapa duniani ndio maana maandiko yanasema ishini nao kwa akili. Shida wanaume tunaishi nao kwa hisia za matamanio yetu.
Kama iko hivyo hawamtaki na wamemuondoa kwa hila basi hawaja tenda haki. Lakini kama hiyo binti alichokuwa ana sema yupo sahihi na ni kweli basi ywamuzi ulochukuliwa ni sahihi kabisa kwa hao Bakwata kulinda heshima ya taasisi yao kwa wafuasi wao. Ukiangalia hii kadhia kama ina ukweli ni...
Inategemea kilichozidi ni kipi katika matendo hayo mawili. Haviwezi kuwa balanced lazima imma uzidi wema au uzidi ubaya lakini sifa zote hizo binaadamu anazo. Tutakutambua kwa ile sifa iliyozidi.
Tumetofautiana sana kimtazamo linapokuja suala la mirathi huwa sioni umuhimu wake kabisa hasa kwa mtoto wa kiume huwa nashangaa inafikia hatua ndugu wanaumizana na kuuwana kwa sababu ya mirathi.
Imeandikwa utakula kwa jasho pambana upate vyako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.