Usitulazimishe wananchi wote tugome kwa lipi?? mimi sio mtumishi wa serikali ,mimi ni mkulima ,nimetumia elimu yangu ya juu kwa kilimo na inanipatia faida kubwa sana kuendeleza msisha yangu na ya familia zangu kwa ujumla...kama wewe umeshindwa kutumia akili yao uweze kuishi tafuta njia mbadala...