Leo upo madarakani unakula kuku kwa mrija lakini damu ya Ulimboka itakuwa chachu ya mapinduzi kwenye sekta ya afya forever hakuna atakayekubali,uzuri kasema kwa sauti yake na watu wamesikia,umejionea mwenyewe dhaifu apopotolewa mimaweTegeta lini aliyashuhudia hayo kipenzi cha wanaDarWatu wengine hamnazo kweli kazi mliyyotumwa na Silaa naona mnaifanya kwa juhudi kweli kweli
Mmemteka wenyewe mmempiga wenyewe sasa mnataka kutuaminisha kuna watu wengine ndio wamefanya hivyo
Ama kweli wafu watawazika wafu wenzao