ACP Hemed Msangi...

ACP Hemed Msangi...

nasikia alisoma botswana kule madokta wetu wanapokimbiliaga!!
 
_MG_9760.JPG

Aliyesima ndiye muuwaji: Kamanda Ahmed Msangi​
 
Anaonekana very humble usoni! Kumbe ni muuaji! Watu wenye sura humble kama 'dhaifu' ni wa kuwaogopa sana! Huwa mioyo yao ni ya kishetani sana!
 
Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote
 
Dk.Mwakyembe alimtaja Sabasita kwamba alikuwa ni miongoni mwa watu walio kwenye mkakati wa kumdhuru.
Baadaye Sabasita alipewa uhamisho!
 
Huyu ndiye Kamanda ACP Hemed Msangi katika muonekano mzuri hivi ni jinsi alivyo Mungu amlipe kwa uovu wake.

asset.php
 
Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote

ukweli ni upi mkuu?
 
Watu Kama wewe mnasababishia watu ban Kama asubuhi tafadhali Kimbia!!!!
 
Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote

"Acha kubisha bisha kitu usichokijua" kama hujui, bora ukakaa kimya, vinginevyo kwa great thinkers kila neno, kwao ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na kama hahusiki, tupe evidence, ili tuendelee na uchunguzi zaidi. Vinginevyo, "no data, no right to speak" Pole mkuu.
 
Huyu anamiliki msitu wa mabwepande
 
Muda mchache uliopita nimepokea ujumbe huu katika simu,

"Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini. Kama wewe ni mpenda haki na unapinga ujinga na dhuluma watumie ujumbe huu watu wengi kadri uwezavyo ili wamjue dhalimu aliyeoongoza unyama huu:"

wakuu napenda kujua undani wa huyu kamanda!
Je kuna ukweli wowote wa haya yasemwayo?

Kwa hali hii bora nikaishi somalia
 
kamandaaaaaaa, sula hili ni zito si la kukurupuka, ila tunapaswa kupost mambo tunayoyafahamu vyema waulizeni waandishi wa habari wa mkoa wa morogoro wanamcatch vyema Ahmed Msangi aliyekuwa kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro akishirikian na vyema na makamanda wengine waliosambaratishwa kutawanywa vituo tofauti tofauti, lakini yeye alizidishiwa cheo hivi karibuni, ni msangi huyo huyo Ahmed
 
last time nilimuona pale uwanja wa jamhuuri morogoro katika mechi kati ya timu ya polisi ya Morogoro na polisi Dsm alikuja na demu mmoja wa kijapan katulia huyooooo, jamani msangi msangi msangi hivi ni kweli mambo haya jamani ama msangi mwingine siyo wewe Ahmed mpale mtulivu mtanasahati, ila huruma sijajua kama unayo
 
Mods unganisheni uzi huu na ule mwingine.

Huyo ndio mzee wa pande
 
Back
Top Bottom