hakika wewe ni hasara na laana kwa wazazi wako na kizazi chako..mtumwa kamili katika fikta zako..mshenzi kama washenzi wengine.. maskini wa akili.. na mwisho wa siku utaliwa tako na unaowatetea
Hii kitu imenikuta week iliyopita sikuelwa lengo la yule askari barabarani..kaandika mpaka namba ya simu, mimi pia sikuelewa ila kwa kuwa nilkuwa na haraka zangu nikaona acha niondoke asinipotezee muda
Kitu vitu viwil tu ambavyo vinaweza kukusaidia kazi bila interview:
1. Kuunganishwa / connection
2. uniqueness / utofauti
Wengi tunategemea namba moja lakin amin nakwambia namba 2 ina nguvu sana, kuwa tofauti na wenzio katika same field, mim nmeshafanya kazi miaka miwil bila boss kuomba cheti...
Emergence namba nazani kila simu inayo ila shida ni watu wachache ambao wanajua au wataweza kuifikia option hyo pindi watakapoipata simu yako. Japo kuna option ya ku display number na ujumbe kwenye simu hata kama umei lock pindi tu utakpowasha display.
teaching fools some basic rules
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.