Muhimbili yenyewe iko juu ya mawe, haina kitu - si madawa ya dharura, mashine za kuuwa wadudu kwenye vifaa, oksijen etc, ukipelekwa Muhimbili ukapona ni Mungu wanko na sio hao madaktari makarani wanaoishia kuandika yaliyokusibu ilihali hawana vifaa vya kukuhudumia. Hapo ni hospital ya taifa, je...