Baa Maarufu Mkoani Kilmanjaro Yauza Nyama ya Mbwa...

Kiingiacho mwilini si najisi bali kitokacho mwilini ndiyo najisi so kuleni hata nyoka paka simba chui tembo na bila kusahau Nguruweeeeeeeee
 
Duu, hii baa iko Jirani na kwangu, bahati yangu siko moshi ningeshaonja hii kitu
 
Umeshaila!!Wengi wanasema kama wewe kuwa ukiona umekula nyama halafu koo linahitaji maji kwa haraka, ujue umeila.
 
lakini hii siyo mbaya kula.
295468_322470577815867_100001587812729_935085_1825506491_n.jpg
 
Bado sijaelewa hati ya mashtaka itaandikwa vipi,wameshitakiwa kwa kosa gani? Kumbuka katiba ya nchi inaruhusu raia kula chakula chochote wanachopenda.

Watashtakiwa kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Sheria inaruhusu mtu kula akipendacho lakini siyo ulishe watu mbwa ukisema ni mbuzi.
 
ni uongo nahisi ni chuki binafsi tuu
walikuwa na shindano la kuchoma nyama wiki hiyo
wakawachafulia jina ila wasishinde ila walishinda tena mwaka huu
siku hiyo skendo ilivyorushwa nilienda kuchoma hapo nyama hapo na nikienda moshi tena nitaenda maana ile sehemu ni nzuri sana
 
Nyama ni nyama baba angu! mbona kule kwetu Uhe..ni,
Ni kitoweo bora kabisa,
Na hakina madhara yoyote!!
 
Nyama ni nyama baba angu! mbona kule kwetu Uhe..ni,
Ni kitoweo bora kabisa,
Na hakina madhara yoyote!!
Karibuni!
 
Baa nyingi za Dar sasa zinayza nyama ya Kondoo wakisingizia ni mbuzi...mbuzi gani haina ladga imepooza...tuendapo sipo kabisaaa
Umeuziwa kitu ingine, siyo kondoo mkuu, ushauri wangu ni ufanye utafiti zaidi.
 
Ila kwa Wachaga, naweza kuamini. Wachaga linapokuja suala la pesa wanadhani zimeumbwa kwa ajili yao tu..... mara nyingi tu wanaweka utu pembeni..
Jirani yangu mmoja mchaga alikuwa na duka, nakumbuka alikuwa anachanganya mafuta ya kula na sabuni ya maji!!!! wakati mwingine na mi Blueband iliyo eksipaya!!!
 
Mbwa ukimtoa ngozi inabakia nyama na ci 'mbwa' the same kwa fisi na punda xo nothing weird here!
 
Ila kwa Wachaga, naweza kuamini. Wachaga linapokuja suala la pesa wanadhani zimeumbwa kwa ajili yao tu..... mara nyingi tu wanaweka utu pembeni..
Jirani yangu mmoja mchaga alikuwa na duka, nakumbuka alikuwa anachanganya mafuta ya kula na sabuni ya maji!!!! wakati mwingine na mi Blueband iliyo eksipaya!!!
Mibongo ndivyo tulivyo!
 
Back
Top Bottom