Natafuta picha ya Mwalimu Nyerere ya 1983 akipokea tuzo ya Nansen aliyopata kutokana na msaada wake mkubwa kuhifadhi wakimbizi Tanzania. Mwenye nayo tafadhali naomba msaada.
Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa.
Asante.
Habari zenu,
Ninauza mayai ya kuku chotara. Bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tu.Ninapatikana Mbezi ya Kimara.
Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze.
Karibuni sana.
Habari zenu ninauza mayai ya kuku chotara bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tuna patikana Mbezi ya Kimara.
Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze.
Karibuni sana.
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
Habari zenu?
Mimi nimfugaji wa kuku chotara lengo ilikua ni kwaajili ya biashara ya mayai lakini baada ya kuletewa vifaranga nikakuza na majogoo ambayo kwasasa nimeamua kuyauza. Wapi nnaweza kupata soko nikauza majogoo, yana miezi 6.
Asanteni sana, nimegundua nilikosea kwenye ombi langu kwani sikua specific kuwa sio shule ya serikali kwani sina uwezo wakumuingiza shule ya serikali, hivyo ningepata kujuzwa shule za binafsi ingefaa zaidi. Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.