Recent content by best5

  1. best5

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    kwani alikua Bagamoyo kufanya nini? au ndo ile one mistake 3 goals
  2. best5

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    katika kusafirisha mchanga unaandika nasafirisha dhahabu kwahyo hesabu zinawekwa kwa kuangalia dhahabu kumbe ndan yake kuna Cu, Ag, Zn etc
  3. best5

    Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    bado hajamaliza tu kuilipa??????????
  4. best5

    Wizara ya Nishati & Madini: Kampuni ya Dangote itapewa Kilomita za mraba 9.98 kuchimba Makaa ya Mawe

    ishu ni kujiuliza kwanin dngote apewe na wengine miaka yote hyo hawajapewa???????????
  5. best5

    Wananchi katika baadhi ya Miji mikubwa waandamana kupinga ushindi wa Rais Mteule, Donald Trump

    kura za wananchi zinaonesha Clinton kamzid Trump ila zile kura 538 ndio zimempa ushindi Trump kias flan ni inachanganya ila ndo katiba yao wamwache tu Mr Trump awanyoooooooooooooooooooooshe
  6. best5

    UKUTA yazidi kupata wafuasi

    cheki sasa mawazo yako ndugu mtanzania daaaaaah wala huwazi viwanda, kujenga vyumba vya madarasa madawati unawaza biashara ya mbowe na kundi lake
  7. best5

    UKUTA yazidi kupata wafuasi

    Huwa ni kwa interests za wachache sana Kabla haujashabikia jambo lolote linalohusu uvunjifu wa amani wacheki jirani zako na maisha wanayoishi Rwanda Burundi DRC Angalia pia historia zao Angalia documentaries mbali mbali zinazohusu maeneo hayo NI KWA FAIDA YA WACHACHE NA WENGİNE Nİ NJİA YA...
  8. best5

    Zambia Wamefaidika Nini Na Hiyo Demokrasia Yao?

    İkifika usiku huwa napitia mawazo ya vijana wa kibongo wa jf yani mawazo yapo kisiasa siasa tu [emoji52][emoji52][emoji52] Hamna hata kufanya kazi Demokrasia demokrasia upuuuzi mtupu
  9. best5

    Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

    swala la kuhamia dodoma kwani umeanza kulisikia lini ewe mtanzania ?????
  10. best5

    Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    Haya mambo ya kitaalamu hayahitaj siasa pita hivi
  11. best5

    Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

    Kwa bahati mbaya sana watanzania hawana uzalendo na nchi yao huo ndo ukweli...asilimia kubwa sana wapo kimaslahi kwahiyo hata ambao wana nia ya dhati ya kuitumikia nchi yao hawaaminiki lakini katika kila kutafuta mafanikio lazima upitie shida...hamna kitu kizuri kinachopatikana kirahisi...
  12. best5

    Tamko la CHADEMA asili

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo sio katiba ya wananchi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  13. best5

    Rais Magufuli: Nasikia sasa Sinza nyumba zimekosa wapangaji

    Wateja wako wameenda wapi? Au ulikua hujui aina ya wateja unaowahudumia Mbona Mangi kitaa na duka lake hajafunga ?? Na yule mama ntilie pale mbona kila siku yupo tu akihudumia wafanyakazi wa kile kiwanda na pia mbona yule mshikaj anae endesha boda boda bado yupo na piki piki yake anajitahd sana...
  14. best5

    Je, na mimi ni jipu??

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Back
Top Bottom