SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Unajitekenya alafu unacheka mwenyewe?
Ukawa umesajiliwa wapi? Makao yake yako wapi? Na mwenyekiti wake?
Hivi hiki chama cha "Chadema Asili" kimesajiliwa na msajili mkuu wa vyama....?
Makao makuu yao yako wapi?
Mwenyekiti & Katibu wao ni nani?
timu lowassa hiyo.Halafu leo hii anatuma polisi wakasambaratishe mkutano wake,jaman wanasiasa hatari sana
OK tumekusikia vipi? huko kwenu umagambani salama? maana nasikia wengine mmeapa kuahakikisha magu anapigwa chini??Ndugu wana jf,
CHADEMA asili tuliosalia kuipigania demokrasia ya kweli na kuupiga vita ufisadi unaofanywa na viongozi waliopo CCM na walioondoka,
Tunajua nchi ipo katika kipindi cha vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa kisera na kiuchumi,sisi CHADEMA asili tunafuatilia yale yote yanayo endelea na yanayofanywa na serikali mpya ya rais magufuli,
Labda tuseme yapo tunayompongeza na yapo tusiompongeza,
Tunayompongeza ni kama vile utendaji kazi wake wa utumbuaji majipu na kurudisha nidhamu maofisini,
pia labda tuchukue fursa hii kumpa pongezi kupewa uenyekiti,
CHADEMA asili haturidhishwi na mambo yanavyokwenda kwenye chama chetu,hivi sasa kila mmoja ni msemaji wa chama,chama kimekuwa na watu waoga kupita kiasi,tunajua sisi ni watu wa maandamano na kupigwa,
Hatuungi mkono mkono wabunge wa upinzani kutoka nje kwenye vikao vya bunge utamaduni ni kupambana kwa hoja ikishindikana maandamano,
Mpaka sasa chama kimetupa hoja yake kuu ya chama kupambana na ufisadi ambayo kipindi cha nyuma tulikua tukitembea kifua mbele,
labda tumpongeze mwenyekiti kwa kuendelea kuwepo katika harakati japo kuna watu wanataka kumzidi nguvu,
pia ombi letu mwenyekiti turudishie ile list ya mwembe yanga pale kwenye tovuti ya chama na pia sloogan ya kupambana na ufisadi lazima kila kiongozi mjumbe aimbe hilo na pia chama kufeli kwenye kuhitimu turudi kwenye harakati,
pia tunalaani chama kutumia pesa nyingi kwenye media kujaribu kusafisha watu walioamua kujifunika matope kwa utashi wao.
ni hayo kwa leo ila yapo mengi kwa baadae!
CHADEMA vyema sum sum kazi ngumu
hatupigi ila tunaua,kwanini kwa sera.
Imetolewa na CHADEMA asili
Kitu Lumumba asili watu wa ndiooo baba jHaiwezekani mwenyeji kukimbia mgeni
Hapana mkuuHapana CHADEMA ni moja wewe uliekwazika nakushauri nenda karambe dimu
Kutoka uwanaharakati hadi siasa danganya totoNdio maana bado tunataka ile misingi imara irudi sio hii mipya,ya kuhitimu!
Makamanda wote wanaogopa kuhoji,wamebaki kukaa kimya!Hapana mkuu
Tudai CHADEMA yetu imara ya kabla ya Oktoba mwaka jana,kabla hajaja Mheshimwa Lowassa
Sasa CHADEMA ni chama cha ndiyo mzee chochote wanacho ambiwa na serikali wanaufyata tu!Kufanya siasa ni haki yetu na kila Mbunge ktk Jimbo lake ilitakiwa awe imara afanye siasa
Sasa Lowassa ndiye kiongozi wa chama,kwa mkutano upi ulio mchagua?
Kaharbu sifa ya chama japo walio wengi hawajui wanaona kaleta neema kumbe laana..mwenyekiti ni mbowe&katibu mashinji,sisi ni wale tuliokwazika na ujio wa kaka mkubwa!
Tupo pamoja mkuu kwenye harakati!kipara kipya kama kuna MICHANGO kuchangia harakati hizi tafadhali nijulishwe
Lowassa,Mbowe,Msigwa,Lissu na Mashinji OUT
Mnyika,Haonga,Heche,Silinde na Iron Lady wapewe CHADEMA yetu
Haipendezi!Kutoka uwanaharakati hadi siasa danganya toto
Tunamsubiri akipigwa chini tunamchukua si ndio mafisi yenyewe wamizoga!OK tumekusikia vipi? huko kwenu umagambani salama? maana nasikia wengine mmeapa kuahakikisha magu anapigwa chini??
Tatizo mkuu umetawaliwa na hofu!Mleta uzi acha kutoa povu. ..ondokeni mkaanzishe chama chenu...
Hauna tofauti na wale wanaolalamikia ndoa alafu hawaachani.
Pia huyo mzee alishasema mwende mahakamani nyinyi mnakuja kuleta porojo JF.
Kuwa mpole





kwahyo sio katiba ya wananchi







chadema asili wako wengi tu.wengi wamehama ccm wanaona angalau ccm ya magufuli inataka kukata kiu yao ya mabadiliko.chadema ya sahvi haieleweki kabisa inasimamia nn
Hofu na wasiwasi vimetawala!Kaharbu sifa ya chama japo walio wengi hawajui wanaona kaleta neema kumbe laana..
Polen wafuasi!
Mleta uzi acha kutoa povu. ..ondokeni mkaanzishe chama chenu...
Hauna tofauti na wale wanaolalamikia ndoa alafu hawaachani.
Pia huyo mzee alishasema mwende mahakamani nyinyi mnakuja kuleta porojo JF.
Kuwa mpole