Recent content by Best Tanzania

  1. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

    Hongera mkuu,M/Mungu akupe umri mrefu wenye kher na baraka tele
  2. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

    Jogoo katoka tuliani huyo
  3. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Michongo ya kimaisha kwa watafutaji na hustlers wa ukweli

    Wazo zuri sana katika kutafuta kwangu kazi upande wa sales nakutana hili swali unaweza udereva kama unaweza kazi ipo mwisho wa siku napambana nipate ela nijifunze udereva.
  4. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Maisha hayo niliyapitia nikiwa Dodoma kwa mjomba dah usiombe yakukute ni maisha ya mateso haswa
  5. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Putin kakanyaga pabaya

    Wameshindwa kumkamata Mugabe ndio waweze kumkamata Putini
  6. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

    Haya maandamano yafanyike nchi nzima kupinga ushoga mpaka mashoga wenyewe na wafadhili wao wakimbie nchi
  7. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Vijana washawishi Madaktari kuwatafutia Wateja wa Figo

    M/MUNGU atusaidie kwa kweli khari si nzuri
  8. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

    Uwezo wangu ni bao moja tu llakini kwenye game nadumu dk 35 mpaka 40 najivunia ktk ilo
  9. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Karma is real

    Umekosea we ungempa tu hiyo nauli
  10. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    We Babu Tale na Msukuma wana PhD usiwafananishe na Lema plse
  11. Best Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

    Binadamu hakosi madhaifu cha msingi ni kumwomba M/Mungu ampe hekima na maarifa kiongozi wetu kuliko kuendelea kulaumu,huyu akimaliza mda wake tutaanza kumkumbuka na kumsifia na atakae kuwepo tutaanza kumlaumu,ubinadamu kazi
Back
Top Bottom