Recent content by best mugy

  1. best mugy

    JamiiForums Tanzania Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

    Hahahaahh hawa wanaume wa dar walegevu sana mtu hawezi kukamatwa na scopion akatolewa macho alafu watu wanaona na huyo aliyetolewa macho hata kujitetea hata kwa meno hakuna [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Messi dunia nyingne kapiga bonge la goli
  3. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya condom na HIV

    Samahani mi napita jamani
  4. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu ananishawishi kuwa awe ananipa nitumie Utumbo...ananisisitizia sana.

    Kula utumbo mkuu lakini lazima uwe na four wheel drive[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada software nicrack modem to universal

    Na mm ninayo ya voda nahic nitafaidika
  6. best mugy

    JamiiForums Tanzania Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    Mummyy
  7. best mugy

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti bado unaendelea?

    Hapo mm naomba kuuliza wanaohusika kuhakiki hvyo vyeti ni watu gani na je wanaohakiki sekta zote ni watu wa aina moja???
  8. best mugy

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari za leo wandugu naombeni msaada mwenye ufahamu mzr na bihashara ya saloon za kike anisaidie nataka nifanye hyo bihashara naomba kujua ni vitu gani vinahitajika au vinavyowavutia wateja kwa wingi asanteni
  9. best mugy

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya wahenga yalinifanya niwe MBUNIFU

    Ukikalia mafiga huoi wala kuolewa
  10. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ukiambiwa tuwe marafiki tu basi, maana yake nini?

    Tatizo lako hukufunguka sasa yy huyo dada angeota kuwa unampenda ww ndo ilijitesa mwenyewe huwez jua hata yy alikupenda alisubr ufunguke
  11. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha, kwa taabu sana hatimaye nimeacha punyeto

    Dah safi sana hongera mkuu na cc tuko mbioni kuacha kwa nasaa hzo
  12. best mugy

    JamiiForums Tanzania Nimefikia hatua ya kutamani kuzima tv au kubadili Channel napomuona fulani kwenye tv

    Ni bora ukabadili hyo tv na jirani yako ili husimwone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. best mugy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala; Je kuna ulazima wa kubadili Line ya simu baada ya kuoa au kuolewa?

    Kama hyo lain ulikuwa unaitumia kwa michepuko ni vyema ukabadl unless utaharibu ndoa yako ila kama lain hyo ndo ya kibiashara na mishe zingne unaweza komaa nayo lakn ukawapiga stop hao wengne
  14. best mugy

    JamiiForums Tanzania Waziri wangu Ndalichako, mwanafunzi aliyetetewa kwa nguvu zote atafunzwa na dunia!

    Sawa mwanafunzi alikosa kama alifanya hayo uliyoandika lakni waliokosa zaidi ni walimu waliompiga kwa namna ile wao kama walezi kwann hawakuchukua hatua sitahiki kwa mkuu wao wa shule ili huyo mwanafunzi apewe adhabu ili sahihi na sio kwa adhabu ile make hao walimu walikurupuka na ww kama...
  15. best mugy

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene, aagiza mkuu wa shule ya Mbeya Day ashushwe cheo

    Kwanza huyo mkuu wa shule co kumshusha cheo afukuzwe kabisa coz yeye ndo mficha maovu
Back
Top Bottom