Recent content by BEST 001

  1. BEST 001

    Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Chama kimeingilia wapi vitu vingine sio siasa tu mkuu je? Umefatilia swala lao kiundani na kuchunguza nini kimesababisha wahukumiwe hvyo??? Swala la kibiti huongelei unakurupuka kusema chama...fikiri kabla ya kuandika
  2. BEST 001

    Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Kuna watu humu walikua wanasema bora wachina wajae Tz ili wauziwe vitu kutoka kwao kwa bei rahisi madhara yake yashaanza kujionyesha
  3. BEST 001

    Nauza Nissan Dualis nzuri sana Arusha

    GARI INAUZWA TSH 13,500,000/= TU Car name : Nissan Dualis Year 2007 CC 1990 / 6 GEAR COLOR SILVER NB , Full android TV 10 inches + Subwoofer, Sunroof , 2W + 4wheel Price Tsh 13,500,000/= Location : Arusha. 0764313877 (CALLS/ TEXTS/WHATSAPP) KARIBUNI SANA. ZINGATIA MKOA ARUSHA
  4. BEST 001

    TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Hii bora ununue simu nyingne mkuu kutoka kwetu maana kioo ni gharama ya simu tosha boss kwa mawasiliano tucheki 0615702216 mkuu
  5. BEST 001

    TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Tuwasiliane 0615702216 au unaweza fika dukani kwaajili ya biashara mkuu
  6. BEST 001

    TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Mkuu nicheki whatsapp 0764313877 piga kawaida 0615702216 au pia unaweza fika dukani kwaajili ya biashara mkuu ili tujue condition ya simu yako boss
  7. BEST 001

    TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
  8. BEST 001

    Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?

    Valverde mtu mbaya kbsa jamaa anajua sana sema tu underrated
  9. BEST 001

    Tukutane tuliosoma Vyuo vya Mjini na kero zake

    Ile route ya kutoka savei kwenda COAF udsm asubuhi ilinifanya nichukie chuo kabsa sema kibabe nkamaliza Ila nilikua najiona kma nasoma day school tu
  10. BEST 001

    Dawa ya Wezi wa viatu na ndala misikitini na kwingineko

    Hv hao wajomba wapo hai maana duh 2007 ndio nilikua nna miaka mi 4 sa sjui walikua wanachatia na simu gani Phillips au blackberry.....nahc hawa ndio wale ma blaza waliokua wakishinda internet cafe kutwa wakitudanganya wana chat na kina 50 cent
Back
Top Bottom