Recent content by bepari wa bepari

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanga Haieleweki kisiasa

    EBWANA nakubaliana na maelezo yako kwa asilimia 100 kaka...vyama vya upinzani kwa tanga vinajisahau kabisa nilipata majibu kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mtaa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Wanaonung'unika sasa ni wasaliti

    Anatafuta huruma tu huyo ana jipya
  3. B

    JamiiForums Tanzania David Kafulila akamatwa na Polisi

    Wanajisumbua tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

    Kaka umeongea fact maana watu wanakurupuka tu kuanza kulaumu. Hapo mzembe ni mwenye barabara hyo sijui halmashauri au tanroads
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya Meghji yazua utata mpya

    Hii nchi kila sehemu usanii tu jamani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi siku3 au 4 kabla ya kupata hedh!

    Wewe nyege zako hzo. Kwani lazima ufanye siku hzo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    huo uwaziri mkuu tu umemshinda ataweza urais
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza mafao kwa wastaafu mifuko ya hifadhi ya jamii

    Jamani hili taifa linakoelekea ni kubaya sana maana kila sector ni majanga tuu. walikuja na fao la kujitoa watu wakachachamaa sasa wanakuja na staili nyingine.
Back
Top Bottom