Tanga Haieleweki kisiasa

Tanga Haieleweki kisiasa

Nitamchagua diwani na Mbunge kutoka UKAWA na si zaidi ya hapo. Kwa siye tuaminiao kwenye misingi na tunu Lowassa hachaguliki, kumchagua Lowassa sawa na Kujitia Kidole Matakoni kamwe siwezi,nawatakia kila la kheri muiwezao kazi hiyo!
ok,hiyo kazi tuwachie.
 
EBWANA nakubaliana na maelezo yako kwa asilimia 100 kaka...vyama vya upinzani kwa tanga vinajisahau kabisa nilipata majibu kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mtaa
 
Makahaba wengi hutokea Tanga na huwapa raha wapachikwa


Na Ukahaba wao walikwenda kufundishwa na bimkubwa wako au??? kumbuka kule kuna wamama na dada wanaojiheshimu ukahaba hauna kabila, ukahaba ni tabia ya mtu rekebisha kauli si lazima kila jambo ucoment kama huna cha kuongea kaa kimya.
 
Wabunge wengi wa Tanga walishawahi kuwa mpaka mawazir kina kigoda, Mwapachu na Omari Nundu, Makamba na Ummy mwalim na sasa kuna Adadi hiyo ni ishara ya kwamba wasomi wapo lakin hawapendi siasa sabab siasa ni mchezo mchafu tu, na wengi wanaoingia kwenye siasa ni lazima iwaingize katika dhulma kwahiyo kwa kuhofia dhambi huwaamua kukaa pembeni, elimu zote 2 wanazo za dunia na akhera na hapo nazungumzia kwenye uongozi, na Katika raia kama raia watu watanga hawapendi vurugu na si kwamba hamna siasa kama mnavyodhani C.U.F. imekamata maeneo mengi tu, sema wao si wajinga wakutaka kuendesha chama kwa kutumia pesa zao mfukoni, kama vyama vya siasa mmeshindwa kuwapa migao mikoani na mnaamini Chadema ni Dar na Moshi/Arusha basi mtasubiri sana wao kukitangaza chama kwa pesa yao ya mfukoni sio wapumbavu ndo tatizo..na hamtasikia hizo habari za kutoka njiani kufanya maandamano ya kipuuzi yasiyokuwa na tija, tuambieni hiyo mikoa iliyopokea siasa kwa muamko mzuri na ushabiki wamefaidika na nini?? kupigwa virungu na polisi na wengine kupoteza maisha ndo walichofaidika na kati ya hao walopoteza baba au ndugu zao katika maandamano Chadema inawaangalia mpaka leo? labda kuwasomesha watoto wao au wajane wao na watoto ndo washapewa kisogo watajua wenyewe. TANGA SI WATU WAKUBURUZWA NA WANAAMINI MAENDELEO HUJA HATA KWA AMANI SI LAZIMA KIHEREHERE CHA SIASA
 
Back
Top Bottom