Recent content by benza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Land Rover Festive Arusha 2024

    Nimetoka moshi saa moja asubuhi, mpaka saivi sjafika Arusha ndugu zangu , foleni ni ndefu sana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Land Rover Festive Arusha 2024

    Ni kweli ndugu yangu , mimi nimetoka asubuhi sina hata habari ya hili . Hili jambo nililiskiaga muda kidogo , skujua kama itakuwa leo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Land Rover Festive Arusha 2024

    Mpaka saivi tunahangaika barabarani, kisa haya mambo yao. Wametupotezea muda sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

    Msameheni amechanganyikiwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

    Huyo mpambavu amechanganyikiwa sasa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tabia za rushwa na ubinafsi huanzia shuleni

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Leejay49 niruhusu ni ku PM, nimejaribu kuandika ushauri kuhusu huyo mdogo wako ,nisingecoment hapa kwenye jukwaa, kwa kuwa nimehusisha maisha yangu, thus why kuna code ziko wazi sana kuhusu mimi . Nimeshindwa kusend kwa kuwa umefunga PM yako , ila nimeusev kama hutajali nikutumie.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Hapana hiii hali ni ya kawaida , mimi mwenyewe nimepitia hiii hali ,mpaka saivi ninayo kwa kiasi ,nikipata time ntaelezea.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaaada wa shule za private

    .
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Mmmmmh una nini wewe hata kwenye vitabu vya dini vinasema jasho la mwanamke ni miliki yake, alichokitafta mwanamke ni chake . lakini utafutaji mwanamme ni kwa familia, so huwezi ukamlazimisha mwanamke atoe chake ,ila anaweza akachangia kwa hiari yake. Nimewasilisha.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuna mwana Jamiiforums anayefahamu hizi ni nini?

    Ni kweli elfu tano,au ndo kaaamua kunipiga . Alafu Alafu nikamuuuliza robo anauzaje kasema 15k . Nimeshituka kweli .
  12. B

    JamiiForums Tanzania Simulizi - change (badiliko)

    moneytalk ufike na huku.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

    Arusha kabisa
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Daaaah ni kweli kabisa,mimi kuna muda najiona nimezungukwa na watu wanafiki tuuuh .
  15. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Aiseee .
Back
Top Bottom