101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,259
Tangu tukiwa shule....viongozi wa wanafunzi walikuwa wabadhirifu, kiongozi wa chakuka shuleni anaficha chakula anaficha nyama,anajipendelea na maswahiba zake ndiyo tumekuzwa hivyo yaani mpaka makazini.
Advance nilikuwa dormitory leader, viongozi wote tulikuwa na vyumba special, ila kiongozi wa chakula nilikuwa nakaa nao chumba kimoja sasa siku ya nyama jamaa walininyima nyama nikapata nyama za share yangu wao wakaiba nyama zaidi ya kilo 10 wakaleta room wakafungia kwenye trank.
Sasa shule ilikuwa hairuhusu kuingiza chakula bwenini nami nikatumia nafasi hiyo kuwaazibu bila wao kujua, tulienda na mshikaji tukabeba yale matranka tukaingia kichakani tukayafungua na kuchukua zule nyama na kuzila na zingine kuzificha vichakani na kurudisha Yale matranka pale pale tukawa tunakula nyama wiki mzima kila mlo, wale jamaa hawakuwahi kuwa wachoyo tena.
Ndio aina hii ya viongozi wanakuja kuwa viongozi wa wizara,halmashauri,taasisi na mashirika ya kiserikali matokeo yake anaweka maslahi yake mbele kuliko ya umma anaouongoza.
#CorruptSociety