Recent content by BensonMsofe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa history na kiswahili anaitajika jinsia kike tu

    +255765285109 Mi ni mwalimu wa kike na hayo ni masomo ambayo ninayofundisha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utata kuhusu kijana ukoje?

    18-34 ndio kijana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Shipping Container

    Nenda kwa Shipping Line La 20 fiti ni dola elfu mbili La 40 fiti ni dola elfu nne Na hiyo ilikuwa mwaka juzi ila kwa sasa sijui itakuwa shs ngapi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu hii meseji

    Kaka hao ni matapeli Wapo Tanzania na wanafanyia wizi wao maeneo yenye viwanja vya kimataifa wapo Wanageria na Wasenegal Mi walinipapeli dollars 700 hapa japa Tanzania Usikubali kudanganyika Mi walinitapeli mwaka huu mwezi wa 3 KIA (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT)
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Ubungo yupo Said Kubenea na Myika yupo Kibamba
  6. B

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Nami nimejifunza mengi na ninashukuru sana kwa kupitia kuanza mwanzo mpaka mwisho. Jibu nimepata Nami ninaangaikia ajira na mfuko mimeona ni bora ni LAPF na ukifiatiwa na PSPF asanteni sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema apata ajali

    Pole sana Mp wa Arachuga Mjini
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mtoto wangu ameathirika na Runinga

    Mpe ratiba Nawe baba la baba chukua nafasi yako na mwajulishe ai mwambie kwa siku awe na ratiba ya saa moja au mawili ya kuangalia tv na isidhidi hapo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Membe acheni chama kifanye kazi yake

    Tusubiri CC ya CCM mtu atakayepitishwa ndiye atakuwa chaguo la kila mtu kwenye chama
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    Cha msingi na cha sekondari mrudiahie pesa yake na pia kuhusu mapenzi naue achana naye na mweleze ukweli utoweza kwa hilo wala kufanya hivyo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amemteua Rais Kikwete kuwa Mwenyekiti wa Jopo la majanga ya kiafya

    Ongera zake mweheshimiwa kwa nafasi alitopewa
Back
Top Bottom