Mwalimu wa history na kiswahili anaitajika jinsia kike tu

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
253
218
Habari za jion wa jf Husika na kichwa cha habari, mwalimu wa kike wa history na kiswahili anaitajika, kwa aliye tayari ani PM nitampa maelekezo shule iko Arusha- Tengeru, makazi na malazi vipo hapo anayeitajika ni jinsia ya kike ili kuweza kuhusika na masuala ya wanafunzi ambao ni wa kike ni PM nikupe maelekezo zaidi,
Jion njema.
 
History. Geography au english vp huitaji maana nnae yupo hukohuko arusha??
 
Habari za jion wa JF
Husika na kichwa cha habari, mwalimu wa kike wa history na kiswahili anaitajika, kwa aliye tayari ani PM nitampa maelekezo.
Shule iko Arusha- Tengeru, makazi na malazi vipo hapo.
anayeitajika ni jinsia ya kike ili kuweza kuhusika na masuala ya wanafunzi ambao ni wa kike.
ni PM nikupe maelekezo zaidi,
Jion njema

Back
Top Bottom