Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Elungata Lowassa hahitaji kunadiwa sana ndg yng...nyota yake inatosha kuwa mvuto...safari hii hayupo msoma nyota wa ccm kinaumana...malimao yatahusika
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Kama ambavyo ccm mnatakiwa mkabidhi ikulu kwa mh sana rais kipenzi cha watanzania lowasa
 
Didas Masaburi mbona ni Team Lowasa ? Maana alifikia hata hatua ya kumfananisha Lowasa na Mtume Muhamad

Mkuu huyu jingalao ni ingizo jipya la nape toka kwao huko songwe kazi yake ilikuwa ni kuuza ndizi mbivu kwenye stand
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Ukiambiwa unatumia meno kama ngiri kufikiri utabisha,hata hujui mnyika anagombea jimbo gani.Rudi kwenu songwe uendelee kuuza ndizi mbivu sinia buku
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

kajipange upya mwambie NAPE akupige shule upya,bado hujaiva wewe na story zako za lumumba
kwa taarifa yako mnyika Anagombea KIBAMBA
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Usiropoke mkuu,ubungo kapewa kubenea na wala sio mnyika na mnyika yupo Kibamba.
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Acha kukurupuka kajipange tena, Mnyika anagombea Kibamba
 
Back
Top Bottom