Recent content by BeNNy Mamba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ramani ya Master, sebule, chumba self, jiko, study room

    Leteni hela tufanye kazi..sio mnataka ramani za bure buree
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau kwa hio hawa 22 bet ndio wamegoma kurudisha pesa Zetu?? Daaah
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hamkua Away... Norwich ndio alikua away
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Ile round about sio suluhisho la foleni.. ungekua ni mtaalam wa mambo ya barabara ungeweza kujua hilo.. hio method of traffic control inafaida zake na hasaraa zake... hapoo wataaalamu Kabla yakuamua kujenga flyover itakua waliona hasaraa ni nyingi kuliko faida hivyo best solution wakaamua kuweka...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kupata kichekesho kama hichi tuma neno chizika kwenda 000
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sifa kuu za watu wenye uwezo mkubwa kiakili (genius)

    Genious ndo watu gan?? Au ulimaanisha "GENIUS" maana najua genious ni watu wajinga wajinga coz hata kuspell genius wanashindwa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Hapo utakuwa umenitafsiria lakin hujanijibu kitaalam... embu nijibu kitaalam Dr... Hali ya maambukiz haijulukan c itakua Hana maambukiz huyo.?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Naaam naam nimekupata vema Daktari, na hio undetectable status ndo nn?
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hawa wanautani na ubingwa[emoji28][emoji28][emoji28] spurs huyo hapo nyumaa... na next fixture mko na City then Man u[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Nimefatilia uzi Toka mwanzon, sema sijaumaliza wote ila nikakutana na vitu kama PEP, undetectable status, naomba madaktar mnielezee vizur ni nn?.. msaada tafadhali
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    Watu wamesahau kua nchi ilichukuliwa wakat ikiwa inaelekeaa kuzama... asee kwel watanzania ni wasahaulifu... watu wamesahau kipindi kile mkwere anamalizia hazina kulikua holaa, hata mzee wangu mafao yake alikua anapigwa kalenda tu.. Kisa nssf pesa zimekombwa zote.... saivi mnakuja mlaumu...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hapo ukimsakisia Victor Wanyama... utakaonea huruma hakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    daaah ni ngumu [\Color]
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila Asee Liverpool imekua shamba la bibi...imekua a piece of shit... aseee nashindwa kuelewa tatizo ni nin hasaa... Ila naskia Klopp kapewa pesa kidogo ya usajili... na amesema hawez sajili kwa kushinikizwa...akafanya wrong choice ya players... anasema atafanya usajili wa kueleweka dirisha...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yaan nimesoma post za mashabiki wenzangu huku nikasikitika Sana yaan leo hii eti watu hawamtaki Klopp? Lazima tukubaliane na matokeo asee... kikosi chetu ni kidogo.. na tunabunch of average players. Cha muhimu ni kuwa patient tusubiri tu tutafika na bado tuna mechi nying tu... #YNWA #kopites
Back
Top Bottom