Naomba kukuuliza ww ukiwa mzazi una fanya kazi bank kikuu kitengo kikubwa tu au pengine unabiashara zako kubwa unafanya kwa hiyo utakuwa tayari kumuacha mtoto ateseke akitafuta ajira mtaani na akiomba mtaji kwako usimpe pia...nipe jibu nijue ww ni mzazi wa aina gani?
Mkuu,nimewaza kitu juu ya hizo mashine nimeona ya kwamba mzungu ni binadamu aliyebarikiwa sana kutengeneza mashine za kutumia kwa hapa duniani, maan hizo mashine kwa akili zetu waafrica tutaweza kweli.!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.