Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.
God has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Quran
Al Baqarah
Verse 6-7
Thanks for the reminder boss.
I love Quran.
 
Fear your Lord, who created you from a single soul, and created from it its mate, and propagated from them many men and women. And revere God whom you ask about, and the parents. Surely, God is Watchful over you.
Ndege John hizi verse za Quran.....weka reference bwana si vema kuacha hivyo hivyo.
 
Quran
Al Baqarah
Verse 6-7
Thanks for the reminder boss.
I love Quran.
Mimi ni mkristo lakini napenda sana kusoma quran ..hakika nimegundua kitabu cha quran kipo sahihi lakini kuna upotoshaji mkubwa kuhusu uislam unaoletwa na watu wa dunia
Nimesoma quran nimejua dini ni neema za Mungu lakini binadam wameshindwa kuvumbua
 
Ngoja niandae mkeka wa mechi za leo nikuletee mkuu maana hii fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli mkuu hii fursa, ingawa amedai hapendi vitu vinavyopendwa na wengi kama mpira, ila mm nitamwona anisaidie kwa kweli.
 
Sasa ulienda shule kufanya nini?

Genius anasema hapendi kabisa kuajiriwa. Ila cha ajabu bado ameajiriwa! 🙂🙂

Ukishajihisi wewe mwenyewe kuwa ni genius, basi sio genius for real. Bali ni kinyume chake.

Hii chai naona imekosa sukari.

-Kaveli-

Huyo jamaa ni kichaa kabisa... Hakun genius wa aina hii.
 
Wew utakuwa ni mchanganyiko kati ya mama binadamu na baba ni jini muulize vizuri mama yako wakat mimba yako inatungwa ilikuwaje
 
Duh! 2025 tutakupa hii nchi uiongoze.. By the way, kwa nini huamini kama Mungu yupo? Hilo ni pungufu kubwa sana kwa binaadam.
 
Mimi kuna kimoja au viwili tu nilikuwa navyo lkn sisemi kama vina mahusiano na sijui 'jiniaz' au nn

Nilipokuwa nakua nilipenda sana kuwa mpweke na moja ya sababu zake ni kuona kama rika langu siwaelewi kwa maana nikawa naona kama wapo 'so childish ' nilijikuta naongea na kutenda kama mtu mzima na hao ndo wakawa marafiki zangu hawa wa rika langu sikuwaelewa nao hawakunielewa

Sijabahatika kusoma sana lkn kwa elimu hiyo ndogo nilikuwa napenda sana masomo na mambo yote yanayoyusiana na fasihi,falsafa pia history

Suala la ndoto na hasa nilipokuwa mkubwa inategemea nipo na 'usafi'upi once nikiwa 'pure' na sina 'negativity' nyingi vitu vingi mpaka ndoto vinakuwa 'clear' hapa lkn kuna maelezo mengi si sehemu yake

Upande wa dini , nimelelewa ktk mazingira ya dini lkn mawaidha/mahubiri huwa lazima yapite ktk mchujo sana, kwa ufupi nashirikisha sana akili ktk kupokea mambo ya iman na hii inaendana na kuhusisha nacho kisikia na 'fact' mimi si mmoja wa 'wahanga' wa Imani yangu lkn naheshim imani mitazamo ya watu tofauti na muda wote natafuta ni nini hasa dhumuni la mimi/sisi kuwepo juu ya dunia hii 'I'm still seeker' kwa njia tofauti tofauti

Kwako mtoa mada kama kuna ukweli ktk maelezo yako basi tu niseme tu upo karibu na 'chanzo' na labda una 'usafi' fulani (sio wa kuoga ni spiritual)
 
Back
Top Bottom