Recent content by Benniesho

  1. Benniesho

    Hadithi: Wakili wa moyo

    Alalalala... Cecy on the way back
  2. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    TUTAONA NANI MJANJA... sasa mizambwa hii ni kizuiz au ni cold war....
  3. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Asante miss neddy..
  4. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Weeee... usitake tuandamane.
  5. Benniesho

    Love story

    Sawa mkuu
  6. Benniesho

    Love story

    We usijal wingi wa wadau... endelea wadau wataongezeka tu. Alaf shida umechoka mapema sana
  7. Benniesho

    Love story

    Usikose nakala yako... Atwambie sasa kama itaendelea au ndo mwisho
  8. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Mwenyewe nlihis ivo bt nkasubir uthibitisho na mwanzo ulisema utapitapita kufatilia ni mtu wa aina gan... nadhan pia ulipopita uligundua kabila la uyu jamaa kuwa ni mjita
  9. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    We sema tu ilo kabila... hakuna atakayekuponda as long as ulichosema ni ukweli.
  10. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Ama kweli ni kizuiz juu ya kizuizi.. huyu Jose sijui atakua kabila gan huyu.. maana hizo tambo zake ni hatariii
  11. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Hasa ukiwa umezipata katka mazingira tatanishi.... sasa Jose hela hizo nusura zimtoe uhai leo zimeuzwa.. dah!! Kutamba kote kuwa atalifanyia kaz swala la shule la mdogo wake ndo kumeisha tena...
  12. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    "Mama godoro langu...." masikini Jose, nadhan alijitahid sana kuuliza hivo vinginevyo angejikuta akiuliza "mama hela zangu?...."
  13. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Ushaambiwa kuibadili tabia ya mtu mzima ni kaz ngumu... sasa Lameck na Emmy hako kamchezo walianza utotoni sasaivi ni matokeo tu
  14. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    We huoni anavotoa maelekezo ya doz kwa kujiamin.
  15. Benniesho

    Hadithi: Kizuizi

    Huyo Lameck inanaelekea ni daktar wa jesh..
Back
Top Bottom