Recent content by BenKaile

  1. BenKaile

    Kumekuwa na mauaji ya halaiki Msumbiji

    Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko...
  2. BenKaile

    Waasi wasiopungua 50 wauawa Kaskazini mwa Msumbiji

    Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko...
  3. BenKaile

    Southern Africa is under Attack as Islamists massacres dozens of people in Mozambique

    Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko...
  4. BenKaile

    Msumbiji (Mozambique) yadaiwa kushambuliwa na Al-Shabaab muda huu

    Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko...
  5. BenKaile

    Mali aliyoikuta mwanamke inaweza kugawanywa sawa endapo mmeachana?

    Aisee jamani ndoa sio majaribio, tujifunze kusoma tabia za watu kabla, familia/koo wanazotoka, marafiki na jamii gani wanatokea (kabila lao) n.k ukisha jiridhisha fuata miiko ya uchumba na harusi yote haya ukimwomba Mungu akuepushe na balaa au mikosi ya watu wenye tabia za hovyo. Nakuonea huruma...
  6. BenKaile

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Hii list bado ina bias maana kuna matajiri ambao sio vijana na wengi hapa ni wazee pia kuna wafanyabiashara waliopo mikoani ambao chimbuko lao la uzao ni mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kwahiyo lazima waonekane Mangi.. Regnald Mengi (RIP) Davis Mosha Felix Mosha Mzee Lema wa Mwanza Rowland...
  7. BenKaile

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Wale vijana wa Moshi miaka ya 90's mpaka 20's kuna zile Taxi "TOP STORY" za mhindi zilikuwa karibia kila stendi za daladala Moshi, stendi ya daladala za Pasua, Soweto, KCMC, Mbuyuni, Kiboroloni mpaka mjohoroni, Kibosho-Road kirima, Mailisita na kwingineko.. wanafunzi wa Muungano, Mwenge...
  8. BenKaile

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Mangi kuhusu mama kuku sio huyo mwenye changbai na hilo jina la kuku ni nickname yake yeye anaitwa "MAMA FEI" alikuwa pia na mchongo KCMC huyu alijulikana kwa kuuza sana makuku ya broiler kipindi hicho hayajajulikana sana ana ofisi Moshi na Arusha kama sijasahau maeneo ya Usa River.
  9. BenKaile

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Mangi mwenye Changbai ni Mama Changbai mwenyewe jina lake ndio hilo hilo tangu miaka ya nyuma anajulikana kwa mishe za misosi Moshi na uuzaji wa Maua.
  10. BenKaile

    Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    Swaga za Dunga hasa katika mitoko/mavazi na walau kwenye appearance hazitofautiani na Mx Carter wa Visual Lab
  11. BenKaile

    Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kijana mtanzania mtu mzima, unadiriki kuandikia serikali ya taifa lako neno la kashfa kuwa " tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika" alafu unadhani utabaki salama bila kukutwa na mkondo wa sheria! yani unaweza kuta una wakashfu hadi ndugu zako ambao wapo ndani ya ajira ndani ya...
  12. BenKaile

    TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mtanzania mwenzetu mahala pema peponi, amen. Alikuwa shujaa na atabaki kuwa alama ya Tanzania hata kwa vizazi vijavyo. Kila bianadamu ataonja umauti ila kabla ya kuondoka jiulize umeifanyia nini jamii yako, Mzee alipiga hatua kwani tunapoteza watoto hata siku...
  13. BenKaile

    Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  14. BenKaile

    Moi University VC awarded a Bachelor of Law degree at Open University of Tanzania

    Aisee darasa halina mwenyewe, Profesa na uzee wake wote bado kachukua shahada ya sheria ni noma sana. Kongole kwake..!!
Back
Top Bottom